-
’tuliko. Tunakoelekea.’ Tafakuri ya kila wiki. Je ukuaji wa uchumi kwa gharama ya ustawi wa jamii ni mtazamo busara?
18/08/2024 Uchumi wa kibepari unakita kwenye ukuaji (growth). Kipimo cha ukuaji ni ukuaji wa Pato la Nchi (Gross National Product GNP). GNP pia ni kipimo cha ukwasi (wealth) au utajiri…
-
tulipo. Tunakoelekea. 6. Tafakuri ya kila wiki. Kwa mtawala wa africa tulinayo/Kutoka kiongozi wa afrika tutamaniyo
04/08/2024 Kwa Mhe wa Africa tuliyonayo Bomoa bomoa, bomoa makazi ya wanyonge. Tumia tumia, tumia dhana ya eti utawala wa sheria. Pora, Pora, pora ardhi ya walalahoi. Kwani nani wa…
-
’tulipo. Tunakoelekea. 5 tafakuri ya kila wiki. Maliasili-ni-ya-sisi-sote
28/07/2024 Maliasili ni ya wote Kwa matumuzi ya sisi sote. Maliasili si yangu au yako au ya binamu Wala shangazi au mjomba Maliasili ni ya sisi sote. Maliasili sio kitu…
-
‘tulipo. Tunakoelekea.’ Tafakuri ya kila wiki. 4 Mfumo na muundo wa uchumi wa uliberali mamboleo
21/07/2024 Uchumi wa uliberali mambo leo unakita kwenye sifa mbili muhimu – moja ni uzalishaji wa malighafi na pili ni kupanua wigo wa biashara ya nje ili kujiingiza zaidi na…
-
’tulipo. Tunakoelekea.’ 3 Tafakuri ya kila wiki. Ukuaji wa uchumi bila ukuaji wa ajira. (Jobless growth)
14/07/2024 Kwa miaka michache sasa takwimu rasmi za serikali zinaonyesha ukuaji wa uchumi kwa asilimia kati ya 4 na 5. Kwa mwaka wa 2024 inatarijiwa ukuaji wa uchumi utaluwa kama…
-
’tulipo. Tunakoelekea’ 2 tafakuri ya kila wiki uporaji wa maliasili mama – ardhi
07/07/2024 Tangu wakoloni wavamie nchi yetu mwishoni mwa karne ya 19 na mwanzoni mwa karne ya 20, uporaji wa ardhi umeendelea. Katika miongo takriban saba hivi wakoloni walitwaa ardhi ya wenyeji…
-
’tulipo, tunakoelekea’ 1 tafakuri ya kila wiki tafakuri ya awali
30/06/2024 Ni rahisi kujitumbukia mshimoni lakini ukiwa umikshaingia shimoni ni vigumu kutoka. Kupanda mlima ni ngumu lakini ukiteleza kuna uwezekano wa kutafuta njia nyingine ya kuendelea kupanda ilimradi una ramani…
-
5 mazungumzo ya kufikirika: kumbukizi ya mzee duncan
23/06/2024 Issa: ni karibu muongo mmoja na nusu tangu utuage. Mzee Duncan wewe ulikuwa kati ya wanachama waanzilishi wa HAKIARDHI. Ulisaidia sana kuuimarisha msimamo na ukereketwa wa vijana wa Hakiardhi.…
-
4 mazungumzo ya kufikirika kati ya henry mapolu na issa
19/06/2024 Henry: Vipi Issa? Umenikumbuka ghafla? Issa: Sijakusahau Henry. Kamwe siwezi nikakusahau. Siku hizi nikikutana na makamaradi vijana, inanikumbusha ujana wetu na harakati zetu za kizazi kile, kizazi cha Azimio…
-
3 Mazungumzo ya kufikirika kati ya TanzaniTuliyonayo (almarufu Tuli) na TanzaniaTuitakayo (almarufu Tata)
9/06/2024 Tuli: Yaani, kijana mwenzangu, bado unazurura mitaani ukitafuta ajira? Tata: Ndio. Siko peke yangu. Karibu milioni mbili ya kaka na dada zangu na wadogo wangu hawana ajira. Wengine wahitimu…


